The AAC market cards were created in response to a desire from the families that their children be able to participate in a typical activity for Ghanaian children: buying food for the family at the market. The AAC market cards have the name and picture of the item the students are to buy for their families. The cards also have the cost; that is how much of the item the family wants the student to buy. How to use the cards has been disseminated through annual professional development retreats so they are now used by students with autism, intellectual disabilities, and cerebral palsy throughout Ghana. The video tutorials are dubbed into several African languages including Swahili, Amharic, Kikuyu, and West African French.
The transcript for this video in Swahili is below:
Jina langu ni Cate Crowley. Mimi ni profesa mashuhuri katika Walimu Chuo, Chuo Kikuu cha Columbia katika programu ya usemi na lugha.
Moja ya mambo ninayopenda kushiliki nanyi ni kuhusu kadi zinazoitwa AAC. Tumeona kwamba kadi hizi ni njia nzuri ya mawasiliano kwa wanafunzi wenye mahitaji maalum kutumia katika masoko ya kwao. Tulianza kufanya kazi pamoja na Belinda Bukari ambaye ni mwalimu mkuu katika Shule Effiduasi ya wanafunzi wenye autism na ulemavu wa akili.
Wakati sisi tulipoenda Ghana, tuliwauliza wazazi, “Mnataka watoto wenu waweze kufanya nini?” Wazazi akasema, “Twataka watoto wetu wawe na uwezo wa kwenda sokoni na kununua vitu kwa ajili ya familia zetu.” Walimu waliweza kudhibitisho kwa hii ni asili ya mtoto wa Ghana. Tuliamua kujaribu kufanya kadi za AAC za mawasiliano. Hizo kadi zilihitajika kusema ni nini waliyotaka kununua na kiasi cha pesa walitaka kutumia. Kwenye sokoni tuliona kwamba bidhaa zilikuwa kwa shilingi ishirini, shilingi hamsini, shilingi kumi, na shilingi tano. Tulitengeneza kadi za soko kama hizi. Hii ni kadi ya papai ya shilingi ishirini 20/-. Twaweza kuwa na kadi mbili zingine za papai ya shilingi hamsini ama papai ya shilingi kumi 10/-.
Kisha tunatumia tepe, kulaminate, na kama vile unavyoona siyo kazi ya pesa nyingi, na inazuia kuzorota. Kabla ya kwenda sokoni, kwanza wanafunzi na walimu walifanya igizo darasani. Halafu wazazi waliwapa watoto shilingi ishirini ili waweze kununua papai, na shilingi hamsini kwa mchele. Halafu watoto wakaenda sokoni.
Awali wanawake wa sokoni walisita kidogo kuona watoto wakinunua chakula sokoni. Baadaye tulisikia mwanamke moja akasema kwa lugha ya Twi, “Ikiwa wamarekani wanaweza kufanya kazi na watoto wetu, pia sisi tunaweza.
Sasa tukienda sokoni nao, wanawake wanawajua watoto kwa majina wao na watoto pia hawana hofu wanapoenda sokoni. Hiyo ni mfano wa mafanikio sana, na inaonyesha jinsi ya tunaweza kutumia mawasiliano kati ya watoto wenye mahitaji maalum.
Wanao elimu wa akili waweze kuwasiliana na jamii zao.
Find the playlist for the full set of videos in this module series here:
Find each of the modules from this playlist here:
English Version (AAC Market Cards)
French Version (AAC Market Cards)
Amharic Version (AAC Market Cards)
Kikuyu Version (AAC Market Cards)
Rukiga Runyankole Version (AAC Market Cards)